Sunday, March 2, 2014
Monday, October 28, 2013
DOWNLOAD SWAHILI RADIO PROGRAMME - SIKILIZA HAPA KIPINDI CHA "DANGER ZONE LIFE".
Sasa unaweza ku- DOWNLOAD na KUSIKILIZA kipindi cha Redio cha "DANGER
ZONE LIFE" ambacho kimeanza kuruka rasmi leo katika mitandao kibao ya
kijamii.
Kipindi hiki kitakuwa kinaruka kupitia mtandao wa Internet mara moja kwa wiki, ambapo kitatoa nafasi ya msikilizaji kukisikiliza na kudownload bure kabisa. Bloggers wote mnakaribishwa sana kushare kipindi hichi katika site zenu.
MAONI na mapendekezo kwa wadau wote wa kipindi hichi yanaruhusiwa live bila chenga, fanya hizo kama support yako. Tunashukuru sana.

DANGER ZONE LIFE: KIPINDI HIKI KIMEZUNGUMZIA UTALII WETU WA NDANI.
Wiki hii katika kipindi cha RADIO cha Danger Zone Life
kinachowekwa mtandaoni kila wiki, safari hii kimezungumzia vivutio
vyetu vinavyowasisimua watalii wa nje kuja kuvitembelea kwa wingi.
Lakini pia kimezungumzia jinsi watanzania na wananchi kwa ujumla jinsi wanavyokosa haki zao za msingi katika kufanya utalii wa ndani. Kipindi kikiongozwa na watangazaji mahiri kitakusogeza pale utakapo hitaji kufika. Sasa sikiliza na kupakua kipindi hiki hapa chini.....

.
KIPINDI KIPYA CHA RADIO - DANGER ZONE LIFE - KISIKILIZE HAPA.
Wiki kii katika kipindi cha Radio cha Danger Zone Life,
kinachopambanua mambo mbali mbali ya kijamii hapa nchini, kinakuletea
baadhi ya matumizi ya mitandao hususani ya Internet. Kipindi hiki
kinachoingia mtandaoni kila wiki, kimeeleza faida na njia mbadala za
kuweza kukunufaisha wewe mtumiaji wa mtandao wa Internet. Tunaomba
ushirikiano wako ili tuendelee kukunufaisha katika mambo mbali mbali ya
kijamii.
Karibu sana, ukitaka kudhamini kipindi hiki, usisite kuwasiana nasi katika barua pepe yetu yani...matangazotz@yahoo.com. SIKILIZA KIPINDI HIKI HAPA.
Karibu sana, ukitaka kudhamini kipindi hiki, usisite kuwasiana nasi katika barua pepe yetu yani...matangazotz@yahoo.com. SIKILIZA KIPINDI HIKI HAPA.
Friday, July 20, 2012
ASILI YETU CLASSIC WEAR YAMTEMBELEA PRODUCER SAMTIMBER KUTOKA FNOUK STUDIO RECORD.
![]() |
Fnouk ni studio ya muziki iliyoko kule Arusha maeneo ya njiro, studio hiyo imegawanyika katika sehemu mbili, ya muziki wa bongoflava na muziki wa Gospel.ASILI YETU CLASSIC WEAR ilifunga safari mpaka kwa producer Samtimber ndani ya FNOUK Record. |
Huyu ndie Samtimber kutoka Fnouk record iliyoko Arusha pande za njiro akiwa amejiachia na T shirt za Asili Yetu Classic Wear.Jamaa ameachia ngoma za wasanii wake ambazo ni "Ndoa--Dav Ngosha" pia kuna "Unaona Noma---Don Shiller" na "Mikono juu----Hard Mad & Man Lether.
![]() |
Hapa Sam Timber akiwa Studio kwake akipakua album kadhaa. |
HIZI NI BRAND NEW T SHIRTS AMBAZO ZIPO MAALUM KWA WATAKAO ZIHITAJI +255 656 713454
Sunday, February 26, 2012
AFTER THE SHOW YA TRIPLE 'A' RADIO ARUSHA ILIKUWA HIVI.

Dj Young Star na Kenedy The Reme Dy!
www.bongohood.blogspot.com
![]() |
Hapa nikiwa na Dj Young Star muda mfupi baada ya kudondosha shoo ya ukweli Triple 'A' Radio Arusha, ambapo pia tulizungumzia issue ya Kilimanjaro Music Award. |
![]() |
Crew iliyotoa bonge la show mchana katika kipindi cha The Beats 120 Triple 'A' Radio A TOWN. |
Subscribe to:
Posts (Atom)