AINA YA RANGI ZA KUCHA UNAZOWEZA KUZIPENDA
![]() |
Hizi ni aina tofauti tofauti za rangi ambazo unaweza kupaka kulingana na tukio au mahali unapokwenda. |
HIZI NI AINA TOFAUTI TOFAUTI ZA MAVAZI YAKIWA YAMEWAKIRISHWA NA WANA MITINDO.
Huenda mavazi haya yakatumika katika sherehe mbali mbali kama vile harusi na send off.
Kama anavyoonekana hapa amevalia nguo iayoendana rangi na sehemu alioko, kuna rangi nyeusi, nyeupe na blue, hivyo nivyema kama uko maeneo flani kama haya, hatakama huogelei nivyema ukatupia rangi ya sehemu hizo kama wewe unapenda fashion, utapendeza sana na utaonekana wa kisasa zaidi.
Huu ni mkoba ambao unaweza ukauvalia nguo aina tatu, yani blue, njano na rangi nyeupe, wazungu wanasema ni mult- purpose yani unatumika zaidi ya mara moja au mbili.
Hii ni baadhi tu ya michoro ya ina kwa wale wanaopenda kuchorwa urembo.
Aina hii ya nguo unaweza kuchagua kuvaa viatu na mkoba wa rangi ya aina yoyote inayoonekana hapo.