![]() |
Fnouk ni studio ya muziki iliyoko kule Arusha maeneo ya njiro, studio hiyo imegawanyika katika sehemu mbili, ya muziki wa bongoflava na muziki wa Gospel.ASILI YETU CLASSIC WEAR ilifunga safari mpaka kwa producer Samtimber ndani ya FNOUK Record. |
Huyu ndie Samtimber kutoka Fnouk record iliyoko Arusha pande za njiro akiwa amejiachia na T shirt za Asili Yetu Classic Wear.Jamaa ameachia ngoma za wasanii wake ambazo ni "Ndoa--Dav Ngosha" pia kuna "Unaona Noma---Don Shiller" na "Mikono juu----Hard Mad & Man Lether.
![]() |
Hapa Sam Timber akiwa Studio kwake akipakua album kadhaa. |
HIZI NI BRAND NEW T SHIRTS AMBAZO ZIPO MAALUM KWA WATAKAO ZIHITAJI +255 656 713454